Ng’ombe 325 wakutwa ndani ya hifadhi
Ng’ombe 325 waimekutwa katika hifadhi ya wanyama ya Lwafi pamoja na
hifadhi ya msitu wa Mfili ulioko wilayani Nkasi mkoani Rukwa kufuatia
msako wa usiku ulioendeshwa na mkuu wa wilaya hiyo, Said Mtanda baada ya
kupata taarifa kuwa wafugaji wanaishi ndani ya hifadhi kwa kibali cha
askari wahifadhi hiyo.
Kauli hiyo ni baada ya kukutwa akifugia mifugo yake ndani ya hifadhi na kutakiwa kueleza ruhusa ya kuingia hifadhini na mifugo yake anaipata wapi, mkuu wa wilaya ya Nkasi Said Mtanda amesema walipata taarifa kutoka kwa raia mwema kwamba kuna wafugaji wanatoa pesa kwa maafisa wahifadhi wa Lwafi ili waendelee kufugia hifadhini akaamua kuweka mtego ili kupata ukweli wa taarifa hiyo, wafugaji wameeleza hali halisi iliyokuwpo hadi wakakutwa hifadhini na kuiomba serikali kuwaruhusu walipie mifugo yao na kuondoka ombi ambalo.
Mkuu wa wilaya ya Nkasi ameeleza msimamo wa ofisi yake na kuwa atawasiliana na mamlaka zinazohusika juu ya watendaji wa hifadhi ya Lwafi wanaotuhumiwa kupoke rushwa kwa wafugaji.
Serikali imewatoza zaidi ya shilingi mil 18 ikiwa ni faini kwa kukiuka sheria, kutoka Nkasi mkoani Rukwa, Willy Sumia, Channel ten

Hakuna maoni